Cv ya andrew chenge education
Login English. Bunge la Tanzania Jamhuri ya Muungano ya Tanzania. Primary Questions from Hon. Andrew John Chenge 3 total Print.
Hon.
Mkoa wa Simiyu haujaunganishwa na mikoa jirani ya Singida na Arusha. Je, Serikali ina mpango gani wa kuifanyia upembuzi yakinifu na usanifu wa kina barabara ya Bariadi — Kisesa — Mwanhuzi hadi Daraja la Mto Sibiti na hatimaye ijengwe kwa kiwango cha lami? Matokeo ya mapendekezo ya njia ipi ya kupita yatapatikana kazi hii itakapokamilika katika mwaka wa Kazi hii imegharamiwa na Serikali ya Tanzania.
Mheshimiwa Mwenyekiti, kazi hizo tajwa za usanifu zikikamilika, Serikali itatafuta fedha za kujenga barabara zote kwa kiwango cha lami kwa awamu na kulingana na upatikanaji wa fedha.
Andrew John Chenge (born 24 December ) is a Tanzanian CCM politician.
CHENGE aliuliza:- Katika miaka ya wanakijiji wa Kijiji cha Mwanchumu, Salaliya na Matongo walitoa maeneo yao kwa Serikali ili yatumike kwa shughuli za kilimo zilizokusudiwa na Gereza la Matongo lakini kwa sasa maeneo hayo hayatumiwi na Magereza kikamilifu. Je, Serikali ipo tayari kurejesha eneo hilo ambalo halitumiki kikamilifu kwa wananchi wa vijiji hivyo?
Aidha, wananchi wa Vijiji vya Mwanchumu, Salaliya kwa asili ni wahamiaji kutoka maeneo mengine na siyo wenyeji wa Matongo. Mheshimiwa Spika, ikumbukwe kuwa Serikali iko kwenye mpango wa kuboresha kilimo kupitia Jeshi la Magereza kwa kuliwezesha kuzalisha chakula cha kutosheleza kulisha wafungwa na mahabusu. Eneo la Gereza la Matongo lipo kwenye orodha ya maeneo yaliyopewa kipaumbele katika kilimo cha mahindi, alizeti, pamba, ufugaji wa nyuki na mifugo pamoja na upandaji wa miti na uhifadhi wa mazingira.
Mheshimiwa Spika, Serikali ilitwa eneo hilo ili kuwezesha Magereza kuendeleza shughuli za urekebishaji wafungwa kwa kutumia kilimo cha ufugaji ambapo mazao mbalimbali ya kilimo hustawi. Kwa sasa eneo hilo limeshapimwa na taratibu za kufuatilia upatikanaji wa hati unaendelea.